Hayo yameejii 17/8/2024 katika Viwanja vya Don Bosco Oyster bay ambapo Bonanza hilo lilifanyika kwa watoto yyatia kucheza michezo mbalimbali, kupata chakula na kupewa zawadi mbalimbali.
Akiongea mwakilishi wa Happy children Tanzania katika Bonanza hilo Bi. Nahya Kassim amesema watoto yatima wanatuhitaji jamii kuwaonyesha upendo ili waweze kujisikia vizuri pia kuwasaidia katika mahitaji yao ikiwepo Elimu ili waweze kuwa na kesho iliyo bora.
Nae mwakilishi wa Double G Grace Kitosi amesema huu ni mwanzo tu watakuwa na matukio mbalimbali katika kuwasaidia watoto ili kuhakikisha wa nafanya sehemu yao kama jamii ili kuwa unga mkono watoto Hawa na kujenga kesho iliyo bora.

