CALL US NOW +255762147240
Donation

HCT FC WAPOKEA FEDHA KWA AJILI YA UNUNUZI JEZI KUTOKA TCRA

UONGOZI WA Happy Children Tanzania organisation unayo furaha kutoa shukrani zao za dhati Kwa TCRA Kwa kuwapa msaada wa fedha Kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya michezo vifaa jezi Timu ya Mpira wa miguu ya HCT FC .

Baadhi ya VIjana wa HCT FC wakiongea mara baada ya kupokea msaada huo uliowasilishwa kwao na Assistant program officer Omary Kassim wameishukuru TCRA Kwa moyo huo wa kutambua umuhimu WA michezo na kufanya wajibu WA kusaidia jamii inayowazunguka Kwa kuwawezesha katika ukuzaji WA vipaji Kwa kuwapatia vifaa vya michezo na wamewaomba kuendelea na moyo huo Kwa kutupia hicho Kwa jamii na kuisaidia ,tunasema asante na muendelee na moyo huo Kwa jamii.

HCT wanatoa shukrani Kwa TCRA na kuwataka mashirika na taasisi zingine kuiga mfano Kwa TCRA Kwa kuwa wadau wazuri katika kusaidia jamii zinazowazunguka.

Wadau wengine mnakaribishwa pia kuisaidia timu yetu ili waweze kufikia ndoto yao kwani Mpira ni ajira pia.

Happy Children

VIEW ALL POSTS

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *