UONGOZI WA Happy Children Tanzania organisation unayo furaha kutoa shukrani zao za dhati Kwa TCRA Kwa kuwapa msaada wa fedha Kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya michezo vifaa jezi Timu ya Mpira wa miguu ya HCT FC . Baadhi ya VIjana wa HCT FC wakiongea mara baada ya kupokea