CALL US NOW +255762147240
Donation

Uncategorized

HAPPY CHILDREN TANZANIA ORGANIZATION KWA KUSHIRIKIANA NA DOBL G CHARITY WAFANYA BONANZA KUWAPA YATIMA.

Hayo yameejii 17/8/2024 katika Viwanja vya Don Bosco Oyster bay ambapo Bonanza hilo lilifanyika kwa watoto yyatia kucheza michezo mbalimbali, kupata chakula na kupewa zawadi mbalimbali. Akiongea mwakilishi wa Happy children Tanzania katika Bonanza hilo Bi. Nahya Kassim amesema watoto yatima wanatuhitaji jamii kuwaonyesha upendo ili waweze kujisikia vizuri pia

Read More

SALAMU ZA POLE NA PONGEZI KWA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN KUTOKA KWA WATETEZI WA HAKI NA ASASI ZA KIRAIA TANZANIA

Wadau wa Sekta ya Asasi za Kiraia/Watetezi wa Haki za Binadamu tunapenda kutoa salamu za pole kwa Rais wetu, Mhe Rais Samia Suluhu kutokana na kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Aidha, kwa pamoja tumeendelea kuungana na Rais wa Jamuhuri ya

Read More

12